Jumanne, 22 Oktoba 2013



Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kila siku kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini..!!
 

PICHA ZA UCHI ZA BINTI ZAANIKWA MTANDAONI BAADA YA KUGOMBANA NA MPENZI WAKE....


Huyu  naye ni  mwanamke  mwingine  asiyeijua  thamani  ya  mwili  wake  baada  kukubali  kupigwa  picha  akiwa mtupu...  Alikuwa na  mpenzi  waliyependana  kiasi  cha  kumpa  kila  kitu  hadi kukubali  kupiga  picha  chafu ...

MAAJABU: KUKU ATAGA YAI PEMBENI YA MAITI HUKO JIJINI MBEYA.....WANANCHI WAPIGWA NA BUTWAA...!!


Ndugu wa marehemu Frank Shoka aliyetuhumiwa kwa wizi wa kuku mwili wake ukisubiriwa kuja kuchukuliwa napolisi Mwenyekiti wa kijiji cha Mjere, Mussa Tenson Mgula aliyesimama kushoto amesema alipata taarifa za tukio hilo kwa wananchi na alipofika alikuta mtuhumiwa ameshauawa hivyo alitoa taarifa kwa...

"NAIHESHIMU BONGO FLEVA KWASABABU IMENIPA HELA, GARI NA NYUMBA MPAKA SASA ".....RICH MAVOKO


Hit maker wa Roho yangu, Rich Mavoko amesema ameanza kupata mafanikio makubwa katika muziki wake baada ya kununua gari aina ya Nissan pamoja nyumba ambayo bado anaendelea kuijenga mkoani Morogoro. Nyumba ya Rich Mavoko ambayo ipo Morogoro “Sina cha kusema muziki unalipa, nyumba yangu ni kubwa sana na pia nimejaribu kuonyesha ni mafanikio gani...

UPDATE:SHUGHULI ZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU JULIUS NYAISANGAH ZINAENDELEA KWENYE VIWANJA VYA LEADERS


Makamu wa rais wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal amewaongoza wakazi wa Dsm kuuga mwili wa mtangazaji mkongwe Julius Nyaisangah katika viwanja vya Leaders Club.     Mwili wa marehemu unatarajiwa kupelekwa kwao Tarime kwa mazishi.Mungu ampumzishe kwa amani Julius Nyaisanga. ...

MSANII WA UGANDA AFIA NDANI YA SWIMMING POOL DAR...


Mac Elvis alikuja Tanzania wiki mbili zilizopita kwa ajili ya consert Dar es salaam akiwa na wasanii wenzake kutoka Uganda ambao walirudi baada ya consert ila yeye akabaki ili kufanya kolabo na baadhi ya wasanii wa Tanzania. Mtanzania Gee ambae ni rafiki yake, anasema ‘Alhamisi Elvis alikwenda kumtembelea rafiki yetu mmoja anaitwa Lulu...

WAHUDUMU WA BAA NA SALUNI WAHASWA KUACHA KUENDEKEZA NGONO ZEMBE....!!


WAHUDUMU baa, saluni, mama lishe na vijana wa bodaboda wilayani Sikonge mkoani Tabora wametakiwa kujiheshimu na kuwa waadilifu wanapofanya kazi zao ili kujiepusha na vishawishi mbalimbali wanavyokumbana navyo katika mazingira ya kazi zao. Watoa huduma hao wamesisitizwa kuheshimu kazi zao kwani ni ajira inayowapa riziki sawa na ajira zingine...

MAITI NYINGINE YAFUFUKA HUKO GEITA....ALIJINYONGA KWA KAMBA MWAKA JANA ILA SASA APATIKANA AKIWA HAI.!!


HOFU imezidi kutanda kwa wakazi wa Mkoa wa Geita kufuatia matukio ya watu waliofariki dunia na kuzikwa miaka iliyopita kuibuka wakiwa hai, Uwazi lina mkasa mwingine mpya. Mgonda Thomas (22), aliyefariki dunia kwa kujinyonga Mei 28, mwaka jana na kuzikwa siku iliyofuata, Ijumaa iliyopita aliibukia karibu na mlango wa nyumbani kwao akiwa hai. Tukio...

HUU NDIO MKASA MZIMA WA BOSI WA NSSF ALIUAWA KWA KUCHINJWA KIKATILI CHUMBANI KWAKE...!!


 BOSI wa NSSF aliyeuawa kikatili kwa kuchinjwa eneo la Moshono jijini Arusha, Regina Mushi amezikwa rasmi kijijini kwao Karansi, Kitongoji cha Ashengai,Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro Jumamosi wiki iliyopita. Akizungumza wakati wa mazishi hayo baba mzazi wa marehemu, Damas Mushi alilaani tukio la kuuawa kikatili kwa binti yake huyo ambaye...

MUNGAI AWATETEA WAHAMIAJI HARAMU.....ADAI WANA FAIDA NYINGI SANA HAPA NCHINI...!!


WAZIRI wa Elimu wa zamani, Joseph Mungai, amekosoa hatua ya Serikali ya kuwaondoa wahamiaji haramu, akisema wengi wao wanamsaada kwa jamii hasa katika sekta ya elimu. Katika hoja hiyo, Mungai ambaye pia aliwahi kuwa Mbunge wa Mufindi Kaskazini, ameitaka Serikali itumie busara katika utekelezaji wa Operesheni Kimbunga. Hata hivyo, Mungai...

KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI YA LEO JUMANNE 22/10/2013....


ANGAZA VICHWA VYA HABARI HAPO CHINI..... &nb...

GOLI LA KIIZA LAPOTEZA UHAI WA SHABIKI WA SIMBA...!!


Goli la pili la Yanga lililofungwa na mshambuliaji Mganda Hamis Kiiza limedaiwa kusababisha kifo cha shabiki wa Simba Ramadhani Mbande, mkazi wa mtaa wa Matokeo kata ya Mabibo, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mapema jana kulienea taarifa kuwa mmoja wa mashabiki wa Simba (Mbande) alipoteza maisha wakati kikosi cha Yanga kinachonolewa na kocha Mholanzi ...

UKATILI: POLISI WADAIWA KUWAVUNJA MIKONO NA MIGUU WAKAZI WA ENEO LA JITEGEMEE WALIOKUWA MAHABUSU..!!


Askari polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi cha Mabibo, wanatuhumiwa kuwapiga na kuwavunja miguu na mikono, wakazi wawili wa eneo la Jitegemee.    Tukio hilo lilitokea Oktoba 17 mwaka huu saa 5 usiku wakati wakazi hao, Maulid Yahaya na Willium Six, wakiwa wanakunywa vinywaji kwenye duka lililopo eneo la Mabibo Mwisho.   ...

LIKE UKURASA WETU HAPA..!!


 
Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.
Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni