
PICHA ZA UCHI ZA BINTI ZAANIKWA MTANDAONI BAADA YA KUGOMBANA NA MPENZI WAKE....
Gumzo AIBU

Huyu naye ni mwanamke mwingine asiyeijua thamani ya mwili wake baada kukubali kupigwa picha akiwa mtupu... Alikuwa na mpenzi waliyependana kiasi cha kumpa kila kitu hadi kukubali kupiga picha chafu ...
MAAJABU: KUKU ATAGA YAI PEMBENI YA MAITI HUKO JIJINI MBEYA.....WANANCHI WAPIGWA NA BUTWAA...!!
Gumzo skendo
Ndugu wa marehemu Frank Shoka aliyetuhumiwa kwa wizi wa kuku mwili wake ukisubiriwa kuja kuchukuliwa napolisi Mwenyekiti wa kijiji cha Mjere, Mussa Tenson Mgula aliyesimama kushoto amesema alipata taarifa za tukio hilo kwa wananchi na alipofika alikuta mtuhumiwa ameshauawa hivyo alitoa taarifa kwa...
"NAIHESHIMU BONGO FLEVA KWASABABU IMENIPA HELA, GARI NA NYUMBA MPAKA SASA ".....RICH MAVOKO
Gumzo wasanii

Hit maker wa Roho yangu, Rich Mavoko amesema ameanza kupata mafanikio makubwa katika muziki wake baada ya kununua gari aina ya Nissan pamoja nyumba ambayo bado anaendelea kuijenga mkoani Morogoro. Nyumba ya Rich Mavoko ambayo ipo Morogoro “Sina cha kusema muziki unalipa, nyumba yangu ni kubwa sana na pia nimejaribu kuonyesha ni mafanikio gani...
UPDATE:SHUGHULI ZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU JULIUS NYAISANGAH ZINAENDELEA KWENYE VIWANJA VYA LEADERS
Gumzo Jamii

Makamu wa rais wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal amewaongoza wakazi wa Dsm kuuga mwili wa mtangazaji mkongwe Julius Nyaisangah katika viwanja vya Leaders Club. Mwili wa marehemu unatarajiwa kupelekwa kwao Tarime kwa mazishi.Mungu ampumzishe kwa amani Julius Nyaisanga. ...
MSANII WA UGANDA AFIA NDANI YA SWIMMING POOL DAR...
Gumzo wasanii

Mac Elvis alikuja Tanzania wiki mbili zilizopita kwa ajili ya consert Dar es salaam akiwa na wasanii wenzake kutoka Uganda ambao walirudi baada ya consert ila yeye akabaki ili kufanya kolabo na baadhi ya wasanii wa Tanzania. Mtanzania Gee ambae ni rafiki yake, anasema ‘Alhamisi Elvis alikwenda kumtembelea rafiki yetu mmoja anaitwa Lulu...
WAHUDUMU WA BAA NA SALUNI WAHASWA KUACHA KUENDEKEZA NGONO ZEMBE....!!
Gumzo skendo

WAHUDUMU baa, saluni, mama lishe na vijana wa bodaboda wilayani Sikonge mkoani Tabora wametakiwa kujiheshimu na kuwa waadilifu wanapofanya kazi zao ili kujiepusha na vishawishi mbalimbali wanavyokumbana navyo katika mazingira ya kazi zao. Watoa huduma hao wamesisitizwa kuheshimu kazi zao kwani ni ajira inayowapa riziki sawa na ajira zingine...
MAITI NYINGINE YAFUFUKA HUKO GEITA....ALIJINYONGA KWA KAMBA MWAKA JANA ILA SASA APATIKANA AKIWA HAI.!!

HOFU imezidi kutanda kwa wakazi wa Mkoa wa Geita kufuatia matukio ya watu waliofariki dunia na kuzikwa miaka iliyopita kuibuka wakiwa hai, Uwazi lina mkasa mwingine mpya. Mgonda Thomas (22), aliyefariki dunia kwa kujinyonga Mei 28, mwaka jana na kuzikwa siku iliyofuata, Ijumaa iliyopita aliibukia karibu na mlango wa nyumbani kwao akiwa hai. Tukio...
HUU NDIO MKASA MZIMA WA BOSI WA NSSF ALIUAWA KWA KUCHINJWA KIKATILI CHUMBANI KWAKE...!!

BOSI wa NSSF aliyeuawa kikatili kwa kuchinjwa eneo la Moshono jijini Arusha, Regina Mushi amezikwa rasmi kijijini kwao Karansi, Kitongoji cha Ashengai,Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro Jumamosi wiki iliyopita. Akizungumza wakati wa mazishi hayo baba mzazi wa marehemu, Damas Mushi alilaani tukio la kuuawa kikatili kwa binti yake huyo ambaye...
MUNGAI AWATETEA WAHAMIAJI HARAMU.....ADAI WANA FAIDA NYINGI SANA HAPA NCHINI...!!
Gumzo kitaifa

WAZIRI wa Elimu wa zamani, Joseph Mungai, amekosoa hatua ya Serikali ya kuwaondoa wahamiaji haramu, akisema wengi wao wanamsaada kwa jamii hasa katika sekta ya elimu. Katika hoja hiyo, Mungai ambaye pia aliwahi kuwa Mbunge wa Mufindi Kaskazini, ameitaka Serikali itumie busara katika utekelezaji wa Operesheni Kimbunga. Hata hivyo, Mungai...
GOLI LA KIIZA LAPOTEZA UHAI WA SHABIKI WA SIMBA...!!
Gumzo michezo
Goli la pili la Yanga lililofungwa na mshambuliaji Mganda Hamis Kiiza limedaiwa kusababisha kifo cha shabiki wa Simba Ramadhani Mbande, mkazi wa mtaa wa Matokeo kata ya Mabibo, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mapema jana kulienea taarifa kuwa mmoja wa mashabiki wa Simba (Mbande) alipoteza maisha wakati kikosi cha Yanga kinachonolewa na kocha Mholanzi ...
UKATILI: POLISI WADAIWA KUWAVUNJA MIKONO NA MIGUU WAKAZI WA ENEO LA JITEGEMEE WALIOKUWA MAHABUSU..!!
Gumzo skendo

Askari polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi cha Mabibo, wanatuhumiwa kuwapiga na kuwavunja miguu na mikono, wakazi wawili wa eneo la Jitegemee. Tukio hilo lilitokea Oktoba 17 mwaka huu saa 5 usiku wakati wakazi hao, Maulid Yahaya na Willium Six, wakiwa wanakunywa vinywaji kwenye duka lililopo eneo la Mabibo Mwisho. ...
HABARI MPYA

Huyu naye ni mwanamke mwingine asiyeijua thamani ya mwili wake baada kukubali kupigw...
Ndugu wa marehemu Frank Shoka aliyetuhumiwa kwa wizi wa kuku mwili wake ukisubiriwa kuja kuchukuliwa napolisi...

Hit maker wa Roho yangu, Rich Mavoko amesema ameanza kupata mafanikio makubwa katika muziki wake baada ya kununua gari aina ya Nissan pamoja nyumba...

UPDATE:SHUGHULI ZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU JULIUS NYAISANGAH ZINAENDELEA KWENYE VIWANJA VYA LEADERS
Makamu wa rais wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal amewaongoza wakazi wa Dsm kuuga mwili wa mtangazaji mkongwe Julius Nyaisangah katika viwanja vy...

Mac Elvis alikuja Tanzania wiki mbili zilizopita kwa ajili ya consert Dar es salaam akiwa na wasanii wenzake kutoka Uganda ambao walirudi baada ya co...

WAHUDUMU baa, saluni, mama lishe na vijana wa bodaboda wilayani Sikonge mkoani Tabora wametakiwa kujiheshimu na kuwa waadilifu wanapofanya kazi zao il...

HOFU imezidi kutanda kwa wakazi wa Mkoa wa Geita kufuatia matukio ya watu waliofariki dunia na kuzikwa miaka iliyopita kuibuka wakiwa hai, Uwazi lin...

BOSI wa NSSF aliyeuawa kikatili kwa kuchinjwa eneo la Moshono jijini Arusha, Regina Mushi amezikwa rasmi kijijini kwao Karansi, Kitongoji ch...

WAZIRI wa Elimu wa zamani, Joseph Mungai, amekosoa hatua ya Serikali ya kuwaondoa wahamiaji haramu, akisema wengi wao wanamsaada kwa jamii hasa kati...

ANGAZA VICHWA VYA HABARI HAPO CHINI........
Goli la pili la Yanga lililofungwa na mshambuliaji Mganda Hamis Kiiza limedaiwa kusababisha kifo cha shabiki wa Simba Ramadhani Mbande, mkazi wa mta...

UKATILI: POLISI WADAIWA KUWAVUNJA MIKONO NA MIGUU WAKAZI WA ENEO LA JITEGEMEE WALIOKUWA MAHABUSU..!!
Askari polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi cha Mabibo, wanatuhumiwa kuwapiga na kuwavunja miguu na mikono, wakazi wawili wa eneo la Jitegemee. ...
Popular Posts
- KATIKA hali ya kushangaza, staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amenaswa akiwa ametinga khanga moja na kuwaacha watu midomo wazi...
- Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawi...
- Vitendo vya ukatili wa kijinsia viko vingi na vya aina tofauti tofauti. Kuna wanawake wengine wanafanyiwa vitendo hivi bila kujua kuw...
- WABONGO walisema nabii asifiwi kwao, hicho ndicho kilichomtokea msanii wa muziki wa bongo fleva Nassib Abdul, maarufu kwa jina la Diamond ...
- Julius Nyaisanga a.k.a Anko J (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkongwe Mwenzie,Aboubakar Liongo HABARI zilizotufikia ...
- Wema Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo k...
- Takribani week sasa habari kubwa kuhusu mastaa Bongo ni story ya Diamond na Wema ,kurudiana ambapo habari hizo bado ni tata kutokan...
- Baadhi ya ndugu wa marehemu Anthery Mushi wakilia kwa uchungu walipokuwa wakitoa salamu za mwisho Muhimbili leo. Baadhi ya ndugu,...
- Kutana na mwendelezo wa mwanamama flora Lymo ni mtanzania anayeishi nje ya nchi ambaye yuko kwenye "SERIES" ya kupiga a pic...
- MSANII wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael, maarufu kwa jina la (Lulu) ameonyesha kufurahishwa na tukio la wanaume wengi wenye ...